Jan 5, 2016

Wasanii wa Bongo kukutana Dar leo

20160104202229
Wasanii wa Tanzania Jumanne hii wanakutana jijini Dar es Salaam kuzungumza masuala mbalimbali kuhusu mustakabali wa tasnia yao. Mkutano huu utafanyika kwenye ukumbi wa Little Theater uliopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Wasanii wote wamealikwa kushiriki.