Kaimu
Balozi Mdogo wa India Govind Sharan Gupta akisalimiana na Wananchi
mbalimbali wenye asili ya India wanaoshi Zanzibar waliohudhuria katika
hafla ya kuadhimisha miaaka 67 ya Uhuru wa Jamhuri ya India iliyofanyika
katika Ubalozi huo Migimbani mjini Zanzibar.
Wananchi mbalimbali wanaioshi Zanzibar wenye asili ya India wakiimba wito wa Taifa la India Picha na Abdallah Omar.
Kaimu
Balozi Mdogo wa India Govind Sharan Gupta akipandisha Bendera ya India
kuashiria kuifungua sherehe ya Uhuru wa Jamuhuri ya India ya kutimiza
miaka 67 katika Sherehe iliofanyika katika ubalozi huo Migombani
Zanzibar.