Ukiucheki mwili wa Mwanamuziki Shetta, sehemu kubwa utaona umepambwa na michoro ya tatuu huku sikioni akiwa na hereni.
Hilo la tatuu limezoeleka kwa wasanii wengi lakini la hereni limekuwa likionekana la ajabu hasa kwa msanii wa kiume tena wa Kiislam kama Shetta.
Juzikati mwandishi wetu alipiga stori na msanii huyo ambaye hupenda kuitwa Baba Khaila na alipoulizwa juu ya uamuzi wake huo wa kujichafua mwili wake kwa michoro hiyo pamoja na kuvaa hereni alisema: