Dkt
Abdallah Ghaylaan Mwakilishi wa taasisi ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur-an
wa Saudia akimkabidhi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Mh Samia
Suluhu Hassan Tunzo ya kutambua mchango wake katika Malezi wakati wa
Hafla ya kuwapongeza Vijana wa jumuia ya Kuhifadhi Qur-an Tanzania
waliohitimu katika Vyuo Vikuu mbali mbali jana tarehe 28/01/2016
kwenye hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na mshereheshaji Sheikh Saleh wakati alipowasili kwenye
Hafla ya Kuwapongeza Vijana wajumuia ya kuhifadhi Qur an jana kwenye
Hotel ya Hyatt Regency.
Baadhi
ya Mabalozi nchini Tanzania wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Tanzania alipokuwa anahutubia kwenye Hafla ya kuwapongeza vijana wa
jumuia kuhifadhi Qur an jana tarehe 28/01/2016.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan
akimkabidhi cheti Hamza Lusanga wakati wa hafla ya kuwapongeza Vijana wa
jumuia ya Kuhifadhi Qur –an yaliyofanyika kwenye Hotel ya Hyatt
Regency Jijini Dar es salaam jana tarehe 28/01/2016.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
akimkabidhi Cheti mwanafunzi Aziza Juma wakati wa hafla ya kuwapongeza
Vijana wa Jumuia ya kuhifadhi Qur an yalifonyika katika Hotel ya Hyatt
Regency, jijini Da es Salaam.