Jan 29, 2016

KATIBU MKUU, NAIBU WAKE WIZARA YA UJENZI WAITEMBELEA TTCL.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Dr Kamugisha Kazaura (Kushoto) akielezea kuhusu mipango ya kampuni mbele ya Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Faustine Kamuzora (Katikati) na Naibu Katibu Mkuu Dr Mary Sassabo (Kulia) walipotembelea kampuni hiyo.Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Dr Kamugisha Kazaura (Kushoto) akielezea kuhusu mipango ya kampuni mbele ya Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Faustine Kamuzora (Katikati) na Naibu Katibu Mkuu Dr Mary Sassabo (Kulia) walipotembelea kampuni hiyo.Baadhi ya maofisa wa TTCL wakiwa katika kikao na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Faustine Kamuzora pamoja na Naibu Katibu Mkuu wake, Dk. Mary Sassabo walipotembelea ofisi za TTCL Dar es Salaam.Baadhi ya maofisa wa TTCL wakiwa katika kikao na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Faustine Kamuzora pamoja na Naibu Katibu Mkuu wake, Dk. Mary Sassabo walipotembelea ofisi za TTCL Dar es Salaam.Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Faustine Kamuzora  na Naibu Katibu Mkuu, Dk. Mary Sassabo wakiwa katika kikao na wafanyakazi wa TTCL.Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Faustine Kamuzora na Naibu Katibu Mkuu, Dk. Mary Sassabo wakiwa katika kikao na wafanyakazi wa TTCL.Baadhi ya maofisa wa TTCL wakiwa katika kikao na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Faustine Kamuzora pamoja na Naibu Katibu Mkuu wake, Dk. Mary Sassabo walipotembelea ofisi za TTCL Dar es Salaam.Baadhi ya maofisa wa TTCL wakiwa katika kikao na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Faustine Kamuzora pamoja na Naibu Katibu Mkuu wake, Dk. Mary Sassabo walipotembelea ofisi za TTCL Dar es Salaam.Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Faustine Kamuzora  na Naibu Katibu Mkuu, Dk. Mary Sassabo wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa TTCL pamoja na baadhi ya maofisa kutoka wizara hiyo. Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Faustine Kamuzora na Naibu Katibu Mkuu, Dk. Mary Sassabo wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa TTCL pamoja na baadhi ya maofisa kutoka wizara hiyo.