Jan 28, 2016

HAPPY BIRTHDAY RAJON

 Rajon Hekima Ngindo akimlisha mama yake mzazi keki siku ya kuzaliwa kwake iliyofanyika jijini mwanza

 shamra shamra za bedhidei zikiendelea nyumbani kwa Bw. Hekima ngindo

 Rajon akimlisha keki kaka yake mkubwa Baraka Ngindo

 Rajoni akikata keki tayari kwa kuwalisha ndugu jamaa na marafiki

  Rajoni akikata keki tayari kwa kuwalisha ndugu jamaa na marafiki