Akichonga na Amani, Belle 9 anayebamba na Ngoma ya Burger, Movie, Selfie alisema Babu Tale alihusika kwa asilimia zote kumrudisha kwenye muziki na kumweka katika Lebo ya Vitamini Music ambayo yupo hadi sasa na kwamba bila msanii huyo ingemchukua muda mrefu kurudi kwenye gemu
Jan 7, 2016
Belle 9: Bila Babu Tale nisingekuwa hapa!