Kibanda cha kitakachotumika
wakati wa kuapishwa kwa Rais Mteule, Dk John Magufuli kuwa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kesho kutwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar
es Salaam.
Askari wa Jeshi la Wananchi
akiigiza kama Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis
Mwamunyange na mwingine akiigiza kama Rais anayemaliza muda wake, Jakaya
Kikwete wakati wa mazoezi ya sherehe za kuapishwa Rais wa Awamu ya
Tano, Dk John Magufuli kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange (wa pili kulia), Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest Maangu (wa tatu kulia) na Mkuu wa Mkoa
wa Dar es Salaam, Said Sadick wakipiga saluti ulipokuwa unaimbwa wimbo
wa Taifa wakati wa mazoezi ya sherehe za kuapishwa Rais wa Awamu ya
Tano, Dk John Magufuli kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Kikundi cha sarakasi kikitumbuiza wakati wa maandalizi hayo
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA; KAMANDA WA MATUKIO BLOG