Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan wakiwa na Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa Mhe. Fahmi Dovutwa katika
chumba cha VIP cha ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam muda
mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu
wa Rais

Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa Mhe. Fahmi Dovutwa katika
chumba cha VIP cha ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam muda
mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu
wa Rais

Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Mhe. Anna Mghwira na wagombea wengine wakiwa katika
chumba cha VIP cha ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam muda
mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu
wa Rais

Rais
Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mama
Samia Suluhu Hassan wakiwa na wagombea wengine wakielekea ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam tayari kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais

Rais
Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mama
Samia Suluhu Hassan na Mhe Anna Mghwira na wagombea wengine wakielekea ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam tayari kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais

Viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi chini ya Jaji Damia Lubuva wakiwa tayari katika sehemu yao

Meza kuu

Mke wa Rais Mteule Mama Janet Mgufuli akisalimiana na Waziri wakuu wastaafu Mzee John Malecela na Jaji Joseph Sinde Warioba