Balozi Mangibin akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Balozi Mangibin (kulia)
akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Balozi Liberatta Mulamula (kushoto) mara baada ya kuwasilisha
Hati za Utambulisho kwa Mhe. Rais Jakaya Kikwete (katikati mwenye tai
nyekundu).