MCHAGUENI DKT MAGUFULI NDIYE ATAKAYEWEZA KULETA MABADILIKO YA KWELI-KINANA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman akiwasili kwenye uwanja wa shule ya msingi Tunduma
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman akihutubia wakazi wa mji wa
Tunduma kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa
shule ya msingi Tunduma ambapo aliwaelezea wananchi hao kuwa mgombea wa
urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli ana uwezo mkubwa wa
kuibadilisha Tanzania,kubadili mfumo wa chama na atakuwa na Baraza la
Mawaziri dogo, atapunguza matumizi yasiyo ya lazima ya serikali lakini
pia ataondoa kodi ndogo ndogo zinazowapa kero na kurahisisha njia za
kufanya biashara kwa wananchi wa mipakani.

wakazi
wa mji wa Tunduma wakishangilia jambo walipokuwa wakimsikiliza Katibu
Mku wa CCM,Ndugu Kinana kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika
katika uwanja wa shule ya msingi Tunduma ambapo aliwaelezea wananchi hao
kuwa
mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli ana uwezo mkubwa wa
kuibadilisha Tanzania,kubadili mfumo wa chama na atakuwa na Baraza la
Mawaziri dogo, atapunguza matumizi yasiyo ya lazima ya serikali lakini
pia ataondoa kodi ndogo ndogo zinazowapa kero na kurahisisha njia za
kufanya biashara kwa wananchi wa mipakani.
Wakazi wa Mji wa Tunduma na vitongoji vyake wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana kwenye mkutano wa kampeni.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman akisisitiza jambo mbele ya umati mkubwa wa wakazi wa mji wa
Tunduma kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa
shule ya msingi Tunduma.