| Mgombea
mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa nafasi ya urais, Mama Samia
Suluhu Hassan (kulia) akisimikwa kuwa Malkia wa Wasukuma Wilaya ya Maswa
na akinamama wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania ya CCM (UWT)
alipowasili Jimbo la Maswa Mashariki kufanya mkutano wa hadhara wa
kampeni kunadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa wanaMaswa. |