MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO
Mjumbe wa kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamesema watakwenda mahakamani kupinga
matokeo ya ubunge majimbo ya; Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe.
Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam, Mjumbe wa kamati ya
Kampeni ya CCM, January Makamba amesema kuwa CCM haijaridhishwa na
utaratibu wa ukusanyaji na ujumlishaji wa matokeo katika baadhi ya
majimbo. Taarifa yote soma hapa chini…