Mgombe Urais wa jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufulu
akizumgumza na Wananchi na WanaCCM wa Kisiwani Pemba jana katika mkutano
wa hadhara wa kampeni za CCM zilizofanyika katika uwanja wa Gombani ya
kale Wilkaya ya Chake chake Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi pia makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali
Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wanachama wa CCM na Wananchi wa
Kisiwani Pemba katika mkutano huo.
Maelfu ya wanaCCM waliofurika katika uwanja wa Gombani yakale Wilaya ya Chake chake Pemba wakimshangilia Dk. Magufuli jana.
Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiteta jambo na Dk Magufuli jana katika mkutanohuo.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi
Taifa, Abdalla Bulembo pia akiwa Kiongozi wa Msafara wa Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli akiwasalimia WanaCCM
katika mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika jana katika uwanja wa
Gombaniyakale wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
Miongoni mwa maelfu ya wanaCCM
wakimsikiliza Dk Magufuli alipokuwa akitoa sera za Chama cha Mapinduzi
CCM jana katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM kuomba Ridhaa ya
kuchaguliwa katika nafasi ya kuiongoza Tanzania.