Mwalimu wa masomo ya Sayansi wa
shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es
Salaam, Elibariki John akiwaelekeza wanafunzi wa kidato cha pili,
Jacqueline James(kushoto) na Ibrahim Juma wa shule hiyo jinsi ya
kutafuta taarifa za maarifa ya masomo ya sayansi kwa njia ya kompyuta
mpakato zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation miezi mitatu iliyopita
kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni unaoendeshwa na Learning In
Sync.
.Wanafunzi wa kidato cha pili wa
shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es
Salaam,wakimsikiliza mwalimu wao wa masomo ya Sayansi Elibariki
John,akiwafundisha somo hilo kwa vitendo kupitia kompyuta mpakato
zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation miezi mitatu iliyopita kupitia
mradi wake wa kompyuta mashuleni unaoendeshwa na Learning In Sync.
Baadhi ya wanafunzi wa kidato cha
pili wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach
jijini Dar es Salaam, wakiendelea kujifunza masomo mbalimbali kupitia
kompyuta mpakato zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation miezi mitatu
iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni unaosimamiwa na
Learning In Sync.