
Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Florence Turuka, akihutubia wanachama wa
chama cha mawakala wa forodha Tanzania (TAFFA), mwishoni mwa wiki jijini
Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa TAFA kwenye ukumbi
wa Karimjee .

Meneja
Masoko, Mawasiliano na Uenezi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Costantina
Martin, akiwaeleza wanachama wa Chama cha mawakala wa forodha Tanzania
TAFA, juu ya hufuma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo, wakati wa
mkutano mkuu wa TAFFA jijini Dar es Salaam. PSPF na TAFFA wamefungua
ukurasa mpya wa mahusiano ambapo wanachama kadhaa wa TAFA walijiunga na
Mfuko huo.

8Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Florence Turuka, akisikiliza maelezo kuhusu
huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PPF, kutoka kwa
afisa wa Mfuko huo, Delphin Richard, mara baada ya kufungua mkutano mkuu
wa TAFFA, ambapo PSPF ilitumia fursa hiyo kueleza shughuli zake.

Viongozi
wakuu wa TAFFA, wakionyesha kadi za uanachama wa mpango wa uchangiaji
wa hiari kwenye Mfuko wa Pensheni wa PSPF, (PSS), baada ya kukuunga
wakati wa mkutan o mkuu wa mwaka wa TAFFA. Kulia ni Meneja Matekelezo wa
PSPF, Francis Mselem, Meneja Masoko, Mawasilioano na Uenezi, Costantina
Martin (wapili kushoto) na meneja wa mpango wa uchangiaji wa hiari
(PSS), Mwanjaa sembe


Baadhi ya wanachama wa TAFFA wakiwa kwenye mkutano huo.