Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akikagua gwaride rasmi liliandaliwa na vikosi mbalimbali wakati
wa sherehe ya kuagewa rasmi na vyombo vya ulinzi na usalama iliyofanyika
katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.