Sep 7, 2015

PONGEZI KWA MR & MRS MWAKYUSA KATIKA UBORA WAO


 usiku wa send off party ya Dada Flora Swaggy

 Flora na Blighters katika ubora wao 

 Flora katika ubora wake




 Mr and Mrs Mwakyusa

 Flora katika Selfie

 Mr Mrs Mwakyusa katika furaha isiyo kifani 

 Flora ndani ya gari kueleka ukumbini

 Shampeni

 Flora katika Tabasamu 




 Kiapo na kuvishana pete

 Mr & Mrs Mwakyusa katika ubora wao ndani ya shera na suti


TUNAWATIA HERI NA BARAKA ZOTE KATIKA NDOA Mr Mrs MWAKYUSA