Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi, Mgombea Ubunge wa
Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh.
Freeman Mbowe, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja
wa Mpira wa Machame, Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro Septemba 26, 2015.

Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe, akiwahutubia wananchi wa Mji wa
Bomang'ombe, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye uwanja wa
Half London, Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro Septemba 26, 2015.

Waziri
Mkuu wa zamani, Mh. Fredrick Sumaye akiwahutubia wananchi wa Mji wa
Bomang'ombe, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye uwanja wa
Half London, Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro leo Septemba 26, 2015.

Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa
Bomang'ombe, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye uwanja wa
Half London, Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro Septemba 26, 2015. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA