

Mgombea Mwenza wa Urais kwa
tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan, akihutubia maelfu ya wananchi
katika mkutano wa kampeni Dodoma mjini.

Kijana akiwa na bango wakati akienda mkutano wa kampeni za CCM Dodoma.

Maelfu ya wananchi wakiwa kwenye
mkutano wa kampeni uliohutubiwa na mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi
ya CCM uliofanyika Dodoma mjini.

Mgombea wa ubunge jimbo la Mtera
Livingstone Lusinde akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa
kampeni uliofanyika leo Dodoma mjini.

Maelfu ya wananchi
wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Sukuhu Hassan alipowalisi kwenye mkutano wa kampeni.

Maelfu ya wanannchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan alipowalisi.

Wagombea Ubunge Livingstone
Lusinde (Mtera) na Anthony Mavunde (Dodoma mjini) wakishiriki kucheza
muziki jukwani wakai wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo Dodoma mjini
na kuhutubiwa na mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia
Suluhu Hassan

Mgombea Ubunge jimbo la Dodoma
mjini Anthony Mavunde akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma,
Adam Kimbisa wakati wa mkutano wa kampeii za CCm uliofanyika leo Dodoma
mjini

Wagombea Udiwani Dodoma mjini wakiwa kwenye mkutano wa kampeniwa mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia.


Mgombea Ubunge Dodoma mjini, Anthony Mavunde akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika Dodoma mjini.


Kinkundi cha Hapa Kazi kutoka
Tanga wakitumbuiza wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa
urais kwa tiketi ya CCM uliofanyika jimbo la Kibakwe mkoani Dodoma

Mgombea Ubunge Jimbo la Kibakwe , Dk. Simba Chawene.

Mgombea Mwenza wa Urais kwa
tiketi ya CCM Mama Samia (kushoto) akishuhudia burudani iliyokuwa
ikitolewa na Kundi la Hapa Kazi, wakati wa mkutano wa kampeni
uliofanyika, jimbo la Kibakwe mkoani dodoma.

Mgombea Mwenza wa Urais kwa
tiketi ya CCM, Mama samia akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili uwanja
wa mkutano wa kampeni katika jimbo la Kibakwe mkoani dodoma.

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Kibakwe, Dk. Simba Chawene.

Msafara wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia ukiwa umeuziwa na wananchi wakati akienda jimbo la Mtera.

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, akimnadi Mgombea Ubunge wa Ubunge jimbo la Mtera Livingstone Lusinde.

Mgombea Mwenza wa Urais tikati
ya CCM, Mama Samia akiwahutubia wananchi wa jimbo la Mtera katika
mkutnao wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo

Maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtera.
PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO