
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Afrika kuhusu
Makubaliano ya Rasimu mpya ya Dunia inayohusu Usimamizi wa Masuala ya
Tabianchi. Kongamano hilo lilianza jana Sept 3, 2015 kwenye Ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar esSalaam.



Baadhi ya Washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiteta jambo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mh. Dianna
Melrose, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Afrika kuhusu Makubaliano ya
Rasimu mpya ya Dunia inayohusu Usimamizi wa Masuala ya Tabianchi.
Kongamano hilo lilianza jana Sept 3, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar esSalaam.