Magufuli akiendesha
tingatinga linalofanya kazi kwenye barabara inayojengwa kutoka Kijiji
cha Kirimasera hadi Matemanga, mkoani Ruvuma.
Dkt. John Pombe
Magufuli akiwapungia mikono wananchi ikiwa ni ishara ya kuwasalimia
alipowasili kwenye mkutano wa kampeni mjini Mbinga, Mkoa wa Ruvuma jana,
ambapo aliahidi kuboresha kiwanda cha kukoboa kahawa na kujenga
barabara ya lami kutoka Mbinga hadi Mbamba bay.
Magufuli akihutubia wakazi wa Songea mjini kwenye uwanja wa
majimaji ambapo aliwaeleza wananchi hao kuwa Serikali yake itafanyakazi
kwa ajili ya maendeleo ya watanzania.
Mbunge wa zamani wa Jimbo la Songea Mjini, Dkt. Emmanuel
Nchimbi akiwaomba wananchi wa Ruvuma kumpigia kura Mgombea urais wa
Tanzania kupitiaa CCM, Dkt. John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni
wa CCM kwenye Uwanja wa Maji Maji, mjiniSongea, mkoani Ruvuma.
Magufuli akiwa na watoto aliowapatia zawadi alipokuwa akiondoka baada ya kujinadi katika Jimbo la Peramiho, mkoani Ruvuma.
Mwananchi akimpigia makofi Dkt. Magufuli baada ua kufurahishwa
na hotuba yake katika Kijiji cha Kigonsera, wilayani Mbinga, Ruvuma
jana.
Dkt. Magufuli akisalimiana na dada wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo
la Nyasa kupitia CCM, na mhamasishaji Mkuu wa CCM, marehemu Kapteni
John Komba, alipokwenda kutoa shada la maua kwenye kaburi Kapteni Komba
katika Kijiji cha Lituhi, wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma akiwa katika
ziara ya kampeni za urais, ubunge na udiwani
Dkt. Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Kapteni Komba.
Magufuli na viongozi wengine wa CCM, wakiomba dua kwenye kaburi la marehemu Kapteni Komba.
Ngoma ikitumbuiza wakati wa mkutano wa kampeni za urais, ubunge na udiwani katika Kijiji cha Lituhi, Wilaya ya Nyasa.
Dkt. Magufuli akinadi kwa wananchi katika Mji wa Lituhi, Wilaya ya Nyasa, Ruvuma.
Dkt. Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Nyasa, Stelah Manyanya katika mkutano wa kampeni katika Mji wa Lituhi.
Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na hotuba ya Dkt. Magufuli.
Dkt. Magufuli akimvisha kofia ya CCM, aliyekuwa Mwenyekiti Mtedaji wa Kijiji cha Kwanza Kata ya Lituhi, kupitia Chadema, Sixbert Nyembo baada ya kutangaza kuwa yeye na wenzie zaidi ya 270 kukihama chama hicho na kujiunga na CCM katika mkutano uliofanyika katika Kata ya Lituhi, wilayani Nyasa leo
Wananchi wakimshangilia Dkt. Magufuli katika wakati msafara wake ulipozuiwa katika Kijiji cha Rwanda, wilayani Mbinga.
Wananchi wakishangilia katika Kijiji cha Amani walipomuona
Magufuli wakati msafara wake ulipozuiwa katika Kijiji hicho kilichopo
wilayani Mbinga.
Msafara wa Dkt. Magufuli ukipita kwenye Barabara mpya ya lami inayotoka Songea kwenda Mbinga.
Dkt. Magufuli akishangiliwa alipokuwa akiwahutubia wakati wa
Kijiji cha Kigonsera waliomzuia alipokuwa akienda kwenye kampeni mjini
Mbinga.
Dkt. Magufuli akiwasamia wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kampeni mjini Mbinga.
Dkt. Magufuli akihutubia wananchi na kutoa ahadi mbalimbali
atakazozitekeleza akiwa chaguliwa kuwa rais ambapo alisema kuwa kila
kijiji kuanzia mwakani kitapewa sh. mil. 50 za kuwakopesha vijana na
akina mama.
Dkt. Magufuli akimkabidhi Mgombea Ubunge Jimbo la Mbinga Mjini, Sixtus Mapunda Ilani ya Uchaguzi ya CCM wakati wa mkutano huo wa kampeni.
Magufuli akionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM kabla ya kumkabidhi mgombea ubunge Jimbo la Mbinga Vijijini wakati wa mkutano huo.
Magufuli akimsalimia mmoja wa walemavu waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni mjini Mbinga
Sehemu ya wananchi walioshiriki kwenye mkutano wa kampeni za CCM katika Jimbo la Peramiho, mkoani Ruvuma jana.
Magufuli akijinadi kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni katika Jimbo la Peramiho
Mama mfuasi wa CCM akifurahi baada ya kumsikia Magufuli akiahidi kuanzisha pensheni kwa wazee kuanzia mwakani.
Mgombea Ubunge Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama akipokea
Ilani ya Uchaguzi ya CCM kutoka kwa Mgombea Urais kupitia chama hicho,
Dkt. Magufuli wakati wa mkutano huo wa kampeni.
Magufuli akiwapungia mkono wananchi kuwaaga baada ya kujinadi katika Jimbo la Peramiho, mkoani Ruvuma.
Magufuli akiwapungia mkono wananchi kuwaaga baada ya kujinadi katika Jimbo la Peramiho, mkoani Ruvuma
Sehemu ya wanchi wa Ruvuma wakinyoosha mikono kukubali kumpigia
kura Mgombea urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli kwenye Uwanja wa
MajiMaji mjini Songea
Mwenyekiti wa Shirikisho la Watu wenye Ulemavu nchini, Amon
Mpanju akiwashutumu viongozi wa upinzani akiwemo mgombea urais kupitia
Umoja wa Katiba Wananchi Ukawa, Edward Lowassa kwa kitendo chake cha
kuwadhihaki walemavu. Mpanju alikuwa akihutubia katika mkutano wa
kumnadi Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli kwenye
Uwanja wa Maji Maji mjini Songea
Mgombea Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
wakazi wa Songea mjini kwenye uwanja wa majimaji ambapo aliwaeleza
wananchi hao kuwa Serikali yake itafanyakazi kwa ajili ya maendeleo ya
watanzania.
Ngoma ikitumbuiza wakati wa mkutano wa kampeni za urais, ubunge na udiwani katika Kijiji cha Lituhi, Wilaya ya Nyasa.
Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na hotuba ya Dkt. Magufuli.
Dkt. Magufuli akimvisha kofia ya CCM, aliyekuwa Mwenyekiti Mtedaji wa Kijiji cha Kwanza Kata ya Lituhi, kupitia Chadema, Sixbert Nyembo baada ya kutangaza kuwa yeye na wenzie zaidi ya 270 kukihama chama hicho na kujiunga na CCM katika mkutano uliofanyika katika Kata ya Lituhi, wilayani Nyasa leo
Dkt. Magufuli akiwasamia wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kampeni mjini Mbinga.
Dkt. Magufuli akimkabidhi Mgombea Ubunge Jimbo la Mbinga Mjini, Sixtus Mapunda Ilani ya Uchaguzi ya CCM wakati wa mkutano huo wa kampeni.
Magufuli akionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM kabla ya kumkabidhi mgombea ubunge Jimbo la Mbinga Vijijini wakati wa mkutano huo.