Bwana Tumbo Ndozero Mjumbe na mwanaharakati wa chama cha mapinduz kata ya nyakato akizungumza na wananchi wa kata hiyo wakati wa kufanya kampeni za chama cha mapinduzi katika kata hiyo ya nyakato iliypo jijini mwanza
Mgombea kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi Ndugu Alfred Wambura wakati akinadiwa na makada wa ccm katika uzinduzi wa kampeni kata ya nyakato Wambura anawania tiketi hiyo katika ngazi ya udiwani kata ya nyakato iliyoko jijini mwanza

Wajumbe wa ccm kata ya nyakato jijini mwanza wakiwa katika amsha amsha ya kampeni zinazoendelea katika kuwania majimbo kata na taifa wajumbe hao waliokuwa wakiongozwa na bwana Tumbo ndozero wanasema wamejipanga vizuri katika kuhakikisha ushindi wa hali ya juu zaidi kwani kata yao wanaijua vizuri na wanayajua matatizo ya wananchi wa kata hiyo
Mzee Alfred Wambura akiwaaga wananchi aliokuwa akiwaomba kura za ndio katika kata yake ya nyakato wakati wa uzinduzi wa kampeni za udiwani kata ya nyakato