
Waziri
wa Fedha Saada Mkuya Salum, (kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye
thamani ya shilingi milioni moja, mwanachama wa Mfuko wa Pensheni wa
PPF, Sara Haule ikiwa ni malipo ya fao la uzazi wakatinwa uzinduzi wa
bodi mpya ya PPF, sambamba na uzinduzi wa fao hilo la uzazi, Jumanne
Agosti 25, 2015.

Waziri Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya uzinduzi

Mkurugenzi
Mkuu wa PPF, William Erio, akitoa hotuba ya ukaribisho na utambulisho
nwakati wa uzinduzi wa bodi mpya ya Mfuko, sambamba na uzinduzi wa Fao
la Uzazi, ambapo wanachama wawili wa Mfuko, Sara Haule na Caroline
Kiswaga, walilipwa shilingi milioni 1 kila mmoja kama malipo ya fao
hilo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF, Ramadhan Kijjah, akitoa hotuba yake

Waziri
Saada Mkuya Salum, Mwenyekiti wa Bodi ya PPF, Ramadhan Kijjah, na
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo, William Erio, wakiwa kwenye picha ya
pamoja na wajumbe wa bodi ya PPF