Aug 18, 2015

Picha: Alikiba na Ne-Yo uso kwa uso jijini Nairobi


unnamed
Muimbaji wa Mwana, Alikiba Jumatatu hii alikutana uso kwa uso na msanii wa Marekani, Ne-Yo kwenye kipindi cha Coke Studio Afrika jijini Nairobi, Kenya. Alikiba na Ne-Yo walijumuika pia na wasanii wengine wa Afrika wakiwemo Wangechi (Kenya), Dama Do Bling (Mozambique), Ice Prince (Nigeria) na Maurice Kirya (Uganda).
924676_873149446100081_1465182151_n
Wasanii hao watarekodi wimbo wa pamoja. Msimu mpya wa Coke Studio Africa utazinduliwa Oktoba mwaka huu.