Mgombea urais kupitia CCM Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC), Jaji Damiani Lubuva, wakati alipowasili ofisi hizo.
Mgombea urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wanahabari baada ya kurudisha fomu.
NEC iliwataka wagombea wote wa urais kupitia vyama vyote vya siasa kurudisha fomu leo Agosti 21 baada ya kuzunguka mikoa ya Tanzania kutafuta wadhamini, ambapo vyama vyote hivyo viwili vimeonekana kukidhi vigezo na kurudisha fomu hizo.
(PICHA: DENIS MTIMA/GPL)