Aug 22, 2015

BREAKING NEWZ!!!... WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA TANZANIA FREDRICK SUMAYE AKIHAMA CHAMA CHA MAPINDUZI NA KUJIUNGA UKAWA LEO

Aliyekuwa waziri mkuu wa zamani wa Tanzania Mhe. Fredrick Sumaye atangaza rasmi leo katika mkutano mkuu wa chama cha UKAWA kuwa amehama chama cha mapinduzi na kujiunga na ukawa rasmi leo hii tarehe 22/08/2015. Sumaye amesema lengo lake ni kutana kuongeza nguvu katiaka ukawa na kuweza kuleta mageuzi ya kweli katika Tanzania na kubadili mfumo mbovu wa siasa. Aidha Mheshimiwa Sumaye amesema kuwa serikali iliyopo madarakani haiwajali watanzania na kuwafanya kuendelea kuwa masikini katika taifa lao la Tanzania sumaye amesemahayo katika mkutano mkuu uliofanyika hii leo katika mkutano wa ukawa.