MSANII wa filamu Tanzania Elia Daniel ‘Elly G’
“Kuna baadhi ya wasanii hawataki kabisa kuona unafakiwa katika tasnia ya filamu Bongo, utaona msanii akiona tu kila wakati upo Lokesheni unashuti halafu kazi nzuri zinakubalika na jamii tatizo na vichomi utapata tena rafiki yako,”anasema Elly G.
Msanii huyo anayefanya vinzuri katika tasnia ya filamu katika uongozaji na uigizaji anasema anawashauri wasanii wenzake badala ya kuwa na wivu wa chuki wawe na wivu wa kimaendeleo ili tasnia isonge mbele na si kudumaa, ushindani kwake anaona ni muhimu sana katika kufikia ndoto zake.
FC
