Jul 21, 2015

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA MODENAIZESHENI YA SEKTA YA MIFUGO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kwenye jarida la Mpango wa Modenaizesheni ya Sekta ya Mifugo baada ya kuuzindua mpango huo jana Jumatatu Julai 20, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na maofisa waandamizi wa Wizara ya Mifugo baada ya kuzindua Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo jana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na jamii ya wafugaji wa kabila la Kimaasai baada ya kuzindua Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugojana, pamoja naye ni Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Mhe. Raila Odinga ambaye yupo nchini kwa ziara binafsi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma jarida la  Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Dkt. Kaush Arha baada ya kuongea katika uzinduzi wa  Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipatiwa maelezo kuhusu miradi ya maendeleo ya Wizara ya  Mifugo kutoka kwa mmoja wa maofisa waandamizi wa wizara hiyo wakati  Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo jana, hata hivyo Rais alionesha kutofurahishwa na utendaji wa  Wizara hiyo na kuwataka watendaji wake wabadilike kimawazo kwa kutenda kazi kwa njia za kisasa ili kuiendeleza sekta hiyo muhimu kwa haraka.
PICHA NA IKULU