MKUTANO WAAHIRISHWA HADI KESHO ASUBUHI SAA 10: 00 AM
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Mhe Dk Jakaya Mrisho Kikete ameahirisha kikao cha kamati kuu hadi hapo kesho saa nne asubhuhi kuweza kumtangaza mpeperusha bendera ya chama cha mapinduzi. kesho itafahamika nani kidedea katika tatu bora..