
MKURUGENZI
Mkuu wa kwanza wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Masha Mshomba,
akiwasilisha mada wakati wa warsha iliyoandaliwa na Mfuko huo kwa
Wahariri kwenye Hoteli ya Court Yard jijini Dar es Salaam, Julai 22,
2015.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, (SSRA), Irine Isaka, akifungua warsha hiyo

Mhariri Shemax Ngahamera akizungumza kwenye warsha hiyo

Mhariri
wa vipindi wa ITV/Radio One, Steven Chuwa, (kulia), na Mhariri Mtendaji
wa EFM, Scolastica Mazula, wakipitia mada zilizokuwa zikitolewa na
Mkurugenzi Mkuu wa WCF

Mhariri Mshiriki wa gazeti la Nipashe, Ramadhan Mbwaduke, akiuliza swali


Baadhi ya Wahariri wakinukuu yaliyokuwa yakielezwa kwenye warsha hiyo

Mhariri Anold Victor, akiuliza swali

Mhariri mkongwe, Mzee Yasin Sadick, akifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakizungumzwa kwenye warsha hiyo

Baadhi ya Wahariri, wakifuatilia mada iliyokuwa ikitolewa juu ya kazi na huduma zitolewazo na WCF

chanzo: JIACHIE