Jul 2, 2015

MAJEDEE KUACHIA VIDEO YA NATAMANI MAMA 04 JULY 2015. STAY TUNED

Baade ya kusubiri kwa mnda mrefu ya song video Natamani mama kutoka kwa msanii Ma-Jadee itatoka Saturday stay tuned. msanii kutoka kenya mweny7e maskani yake nchini ujeruman anatarajia kuachia video yake ya NATAMANI MAMA. Jadee ameiambia blog hii kuwa baada ya mashabiki wake kusubiri kazizi hiyo kwa muda mrefu sasa ameamua kuichia video hiyo. video hiyo inatarajiwa ndani ya wiki hii ya Tarehe 4 July  2015. 

BOFYA HAPA KUSIKILZA AUDIO YAKE..... NATAMANI MAMA