Jul 27, 2015

J.R CATERING YANOGESHA USIKU WA RHODA NDANI YA UKUMBI WA VIJANA MLANGO MMOJA MWANZA

 meza ya maharusi ikiwa imependezana menu ya JR catering services
 wageni waalikwa mabibi na mabwana wakipta chakula kitamu kutoka kwa J.R CATERING ya mwanza 

 Rhoda na mme wake mtarajiwa wakijindaa kupata chakula baada ya kutambulishana kwa wageni waalikwa waliohudhuria katika Send Off party ya Rhoda

 meza ya maharusi


 wafanyakazi wa J.R CATERING wakiwa tayari kwa ajili ya kutoa huduma kwa wageni waalikwa

 Bi. Rachel Yusuph ambae ndio mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya J.R CATERING SERVICES akijitambulisha kwa wageni waalikwa baada ya wageni kupata chakula kitamu kutoka kwa kampuni yake iliyopo jijini mwanza na yenye maskani yake nyakato mwanza

 MC ester akiwa na mic akimtambulisha Bi. Rachel mwenye kampuni ya JR CATERING SERVICES

 maharusi wakiwa tayari kwa kupata msosi

 JR CATERING TEAM
 Wafanyakazi wa kampuni ya JR CATERING wakiwa wamevalia sare za kazi wakiwa tayari kwa kutoa huduma nzuri kwa wageni waalikwa ndani ya ukumbi

mchakato wa kupata chakula kwa maharusi na wageni waalikwa ukiendelea kama kawida.

JR CATERING SERVICES yenye maskani yake jijini mwanza wanatoa huduma nzuri ya chakula kwa kila hatua unayohitajika kama vile kutoa huduma ya chakula kwa HARUSI, KITCHEN PARTY, SEND OFF, BIRTHDAY, MIKUTANO YA SIASA, MASHULENI, NA sehemu zingine muhimu zenye kuhitaji huduma ya chakula.
kwa mawasiliano zaidi piga namba zifuatazo hapo chini pamoja na email

CALL: (+255) (0) 756 185 684
E-mail: lolineyusuph@gmail.com