Jaji mstaafu Mark Bomani (kulia) akimkabidhi Tuzo ya maono mapevu, Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.
Jaji mstaafu Mark Bomani akimvisha skafu yenye Neno Tanzania Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema.
Jaji mstaafu Mark Bomani
akimkabidhi Tuzo ya uwazi na ukweli Mkurugenzi wa Under the Same
Sun,Vicky Ntetema tuzo ya ubunifu, tuzo ambazo zimetolewa na taasisi ya
Dream Success Enterprises. 
Jaji mstaafu Mark Bomani akimvisha Skafu Saed Kubenea. 
Jaji mstaafu Mark Bomani
akimkabidhi tuzo Mwandishi Saed Kubenea tuzo ya uwazi na ukweli ,
ambazo zimetolewa na taasisi ya Dream Success Enterprises Dar es Salaam.

Jaji Mstaafu Mark Bomani katika
picha ya pamoja (wa tano kulia ) wakiwa na baadhi ya viongozi wa Taasisi
ya Dream Success Enterprises mmoja wao ni Joshua Lawrence (kushoto) na
kulia ni Profesa Aldin Mutembei baada ya kukabidhiwa tuzo hizo Dar es
Salaam jana.
Kikundi cha kwaya cha Nyota ya
asubuhi, cha kanisa la Wasabato, Ukonga, kikitoa burudani wakati wa
utoaji tuzo kwa Watanzania waliotoa mchango mkubwa katika kutetea haki
na jamii nchini, Dar es Salaam jana. Mmoja wa waliopata tuzo hizo ni
pamoja na Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila. Tuzo hizo zilitolewa
na Taasisi ya Dream Success Enterprises ya jijini.

Baadhi ya wananchi walio shiriki
na GPL