Jul 22, 2015

Ester Bulaya, Lembeli wakiwa katika mkutano wa Chadema Mwanza leo

11703133_933997036664094_8345820761567523157_n (1)
Waliokuwa wabunge wa CCM,  Mzee James Lembeli (kulia) na Easter Bulaya wakiwa katika mkutano wa Chadema leo jijini Mwanza.
11754279_382774181915186_2019913800618807110_n
Marafiki wawili, Easter Bulaya akifurahia jambo na Halima Mdee.

cdm44
Viongozi wa Chadema baada ya kufika kwenye uwanja wa mkutano.
slaa13 slaa14Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willbrod Slaa akiwasalimia wananchi mkutanoni