Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa
DCB, Balozi Paul Rupia (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa
DCB Commercial Bank, Samwel Dyamo (kulia) kwa pamoja wakionyesha DVD za Filamu hiyo.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa
DCB, Balozi Paul Rupia akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Filamu
hiyo katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam jana
ambapo alitoa wito kwa wasambazaji wa Filamu hiyo kuifanya kazi
yao kwaumakini ili kutimiza malengo na madhumuni ya kuandaa Filamu hiyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa
DCB, Balozi Paul Rupia (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa
DCB Commercial Bank, Samwel Dyamo (kulia) kwa pamoja wakionyesha DVD za Filamu hiyo.
Baadhi
ya washiriki na wadau waliohudhuria uzinduzi wa Filamu hiyo katika
ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam,Juni 25,2015.PICHA NA
EMMANUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII.