Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanja cha
Ndege cha Guang Dong cha nchini China, Bw. Wen Wenxing (kushoto), akimpatia
zawadi Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Uchukuzi Tanzania, Bw.
Gabriel Migire, leo asubuhi baada ya ugeni huo kukutana na uongozi wa Wizara ya
Uchukuzi leo asubuhi.
Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa
Wizara ya Uchukuzi Tanzania, Bw. Gabriel Migire (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi
Mtendaji wa Kiwanja cha Guang Dong cha nchini China, Bw. Wen Wenxing wakati
ujumbe huo ulipokutana na uongozi wa Wizara ya Uchukuzi, leo asubuhi.
Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa
Wizara ya Uchukuzi Tanzania, Bw. Gabriel Migire (kulia) akisisitiza jambo
wakati wa mkutano wa uongozi wa Wizara na ujumbe kutoka Kiwanja cha ndege cha
Guang Dong kutoka nchini China, wakati ulipotembelea Wizara ya Uchukuzi, leo
asubuhi. Ujumbe umeonyesha nia kuwekeza katika Viwanja vya Ndege vya Tanzania.
(Habari
Picha Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Uchukuzi)