Jun 13, 2015

PROF: MARK JAMES MWANDOSYA ATEMBELEA NYUMBANI KWA BABA WA TAIFA KIJIJINI BUTIAMA NA KUWEKA SHADA LA MAUA KWA KABURI LA HAYATI BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE


 profesa mark james mwandosya akisali na kuweka shada katika kaburi la hayati baba wa taifa mwalimu J.K NYERERE kijijini butiama

 madaraka nyerere akiatoa maelekezo kwa Prof. Mwandosya namna baba yao alivyokuwa akiishi na alivyofanya mambo ya msingi katika nchi hii na maeneo mengine


wakizungukia baadhi ya maeneo ya ngome ya Hayati Mwalimu J.k Nyerere kijijini Butiama 

Profesa Mark James Mwandosya alipodhuru katika kijiji cha Butiama nyumbani kwa hayati baba wa Taifa na kufanya mazungumzo na baadhi ya watoto wa mwalimu nyerere mojawapo alikuwa ni madaraka nyerere ambaye amekuwa mstari wa mbele kuwapokea wageni na kuwapa maelekezo thabiti juu ya maisha hayati baba wa Taifa na jinsi alivyosoma. Profesa James Mwandosya amekuwa moja wa viongozi waliochukua fomu za kuwania nafasi za urais Nchini Tanzania. kwani amekuwa ndio kiongozi pekee amabaye hajwahi kukumbwa na kashafa yoyote hapa nchini na yupo ziarani nchi nzima kuweza kutangaza nia yake na wanachi wamekuwa wakijitokeza kwa wingi kumpa support zaidi katika mchakato huu wa kuwania Taji la Urais. 

KWA PAMOJA TUTAIJENGA TANZANIA TUNAYOITAKA. Prof: James Mark Mwandosya