Wafanyakazi
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakiwa waliovalia vema na kuwa
watanashati, wakiwa katika picha ya pamoja nje ya banda lao kwenye
viwanja vya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa barabara ya Kilwa jijini
Dar es Salaam. PPF imewaahidi Watanzania kutembelea banda lao ili kujua
huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo, ikiwemo fao la elimu, na ule
mpango wa uchangiaji wa hiari. Rais Jakaya Kikwete, anatarajiwa kufungua
maponyesho hayo yaliyoanza Juni 28, 2015, hapo Julai Mosi

Mmoja
wa watu waliotembelea banda la PPF, akipatiwa maelezo na Mfanyakazi wa
PPF, (Kulia), kwenye siku ya kwanza ya maonhyesho hayo Juni 28, 2015
