Jun 5, 2015

NGELEJA: HOTUBA YAKE YAJIBU MASWALI MENGI YA WANANCHI WAKATI AKITANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS


na aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja amekanusha taarifa za kukutwa na tuhuma za ufisadi uliopelekea kuvuliwa uwaziri.
.Akizungumza wakati wa kutangaza rasmi nia ya kuwania urais, Ngeleja  

amesema wananchi wengi wamekuwa wakidhani kuwa aliondolewa katika wadhifa huo kwa kutumia madaraka vibaya jambo ambalo si sahihi. 



Ameongeza utaratibu uliofanyika kumuondoa ni utaratibu wa kawaida na kuwa unaweza kutumika hata bila ya kuwa na udhaifu katika uongozi.


Ameongeza kumekuwa na baadhi ya baadhi ya watu wanaoeneza habari hizo kwa leo la kumchafua.



Ingawa nafasi ya Urais imeombwa na wanachama wengi, Ngeleja atoa fursa kwa watanzania kumtathimini, na si kwa maneno ya mtaani bali kwa takwimu za utendaji kazi ikiwa ni sambamba na kuifuatilia ripoti ya CAG na ESCROW kuisoma kurasa hadi kurasa




















 
PICHA ZOTE NA GSENGO BLOG/ CAMERA YA GSENGO