Mbunge Nassar akiondoka katika uwaja huo mara baada ya kumalizza mkutano wa hadhara.
 |
| Mbunge
wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar akisalimiana na rubani wa
Helkopta wakati anaanza ziara ya kuhamaisha zoezi la uandikishaji katika
daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa BVR. |
 |
| Mbunge Nassar akifunga mikanda tayari kwa kuanza ziara. |
 |
| Mbunge
Joshua Nassar akitelemka kutoka katika helkopta wakati alipofika katika
kata ya Shambalai Burka kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujitokeza
kujiandikisha. |
 |
| Baaadhi ya wananchi wakiwa wamembeba Mbunge Joshua Nassar mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Shambarai Burka. |
 |
| Mbunge Joshua Nassar akisalimiana na mmoja wa watoto waliojitokeza kumpokea. |
 |
| Kundi la kina mama pia walikuwa miongoni wananchi waliojitokeza kumpokea Mbunge Nassar. |
 |
| Mbunge Joshua Nassar akiwa na viongozi wengine wa Chadema wilaya ya Arumeru. |
 |
| Mwenyekiti
wa Chadema wilaya ya Arumeru ,Gadiel Mwenda akizungumza katika mkutano
uliofanyika kata ya Shambarai Burka kuhamasisha wanachi kujitokeza
katika zoezi la uandikishwaji. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |