![]() | |||
Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya
Makazi,Angela Kairuki akizungumza katika mkutano huo uliowashirikisha
wakuu wa wilaya,kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa,maafisa ardhi
,madiwani pamoja na wananchi wa kawaida.
|

![]() |
| Baadhi ya viongozi pamoja na watumishi wengine walioshiriki mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro. |


