
Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajab Rutengwe akiwa ameshika mwenge wa Uhuru baada ya
kupokea kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Said Magalula

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajab Rutengwe (kushoto) akiwa
amekumbatiana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Said Magalula baada ya kukabidhiwa
Mwenge wa Uhuru.

Kiongozi
wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa Bw. Juma Khatibu Chum akifungua kitambaa kama ishara ya
kuzindua zoezi la uandikishaji wapiga kura Wilayani Mvomero lililofanyika katika Kijiji cha Salawe Kata ya Kibati.
picha na JIACHIE BLOG