Mgombea Urais kwa tiketi
ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Fomu zake za kuwania urais, Naibu Katibu
Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Rajab Luhwavi, wakati alipowasili kwenye Ofisi za
Makao Makuu wa CCM mjini Dodoma leo kwa ajili ya kurejesha Fomu za kuwania
urais katika uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu. Kulia
ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Zakia Bilal.

Mgombea Urais kwa tiketi ya
Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akipunga mkono kuwasalimia
wanachama wa CCM, wakati akitoka kwe ye Ukumbi wa CCM Makao Makuu mjini
Dodoma leo, wakati alipotoka kurejesha Fomu za kuwania urais katika uchaguzi
Mkuu unaotarajia kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu. Nyumba yake ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Zakia Bilal.

Mgombea Urais kwa tiketi ya
Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akipunga mkono kuwasalimia
wanachama wa CCM, wakati akitoka kwe ye Ukumbi wa CCM Makao Makuu mjini
Dodoma leo, wakati alipotoka kurejesha Fomu za kuwania urais katika uchaguzi
Mkuu unaotarajia kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu. Nyumba yake ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Zakia Bilal. Picha
na OMR