
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Palestina nchini Tanzania,
Nasir Abu Jaish, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
Juni 19, 2015 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Palestina nchini Tanzania,
Nasir Abu Jaish, anayemaliza muda wake wa kazi nchini wakati alipofika Ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 19, 2015 kwa ajili ya kumuaga

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Palestina nchini
Tanzania, Nasir Abu Jaish, anayemaliza muda wake wa kazi nchini, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini
Dar es Salaam, leo Juni 19, 2015 kwa ajili ya kumuaga. Picha na OMR/JIACHIE BLOG