
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwapigia saluti, maelfu ya wananchi,
alipowasili kuhutubia mkutano wake wa hadhara aliofanya jana kwenye
Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, akiwa katika ziara ya kukagua
utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Mwanza.

Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwahamasisha maelfu ya
wananchi katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman
Kinana uliofanyika katika Vianja vya Furahisha Jijini Mwanza.

"'SAFI
SANA"Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana aonyesha dole gumba ambayo
ni ishara ya CCM na kuonyesha kuwa mambo safi, alipowasili kuhutubia
mkutano wa hadhara kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza. Kushoto
ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.

Malikia
wa taarab, Khadija Kopa akiongoza kuimba wimbo maalum wa CCM, wakati wa
mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrhmn Kinana uliofanyika leo, kwenye
Uwanja wa Furahiha jijini Mwanza

Mashabiki
wakimg'amg'ania Khadija Kopa wakati akiimba wimbo maalum mbele ya
mashabiki hao wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM
uliofanyika kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza leo

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wake wa hadhara aliofanya katika Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza.

Maelfu
wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipohutubia
mkutano wa hadhara katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza.

Maelfu
wakiwa wamefurika katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza wakati wa
mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja hivyo.

Aliyekuwa
mgombea wa ubunge kwa tiketi y Chadema, katika uchaguzi mkuu uliopita,
Twalib Ngika, akitangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa hadhara wa
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana uliofanyika viwanja vya Furahisha
jijini Mwanza.

Aliyekuwa
mgombea wa ubunge kwa tiketi y Chadema, katika uchaguzi mkuu uliopita,
Twalib Ngika, akikabidhi yadi ya Chadema kwa Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinna baada ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa
hadhara wa Katibu Mkuu huyo uliofanyika viwanja vya Furahisha jijini
Mwanza.

Kinana akisindikizwa na maelfu ya wananchi alipokuwa akiingia kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza.

Wananchi wakishangilia kwenye mkutano huo.

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo, akihutubia mkutano huo.

Mmoja wa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano huo, akiwa na mtoto wake aliyeshika kipeperushi cha CCM.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa Mlongo akihutubia kwenye mkutano huo.

Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula akihutubia kwenye mkutano huo.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia kwenye mkutano huo.

Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akihitimisha kwa hotuba katika mkutano
wake wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Furahisha jijini wanza.
PIcha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog