Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akitoa taarifa za Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC),kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,mbele ya Mwenyekiti Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) wengine Makamo wa
Pili wa rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto)na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohamed Gharib Bilali.
Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) wakipitia
agenda mbali mbali zilizotayarisha katika kikao hicho cha siku moja
kabla ya kuanza katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini
Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendesha kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC),kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,(kushoto)Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohamed Gharib Bilali.
Wajumbe wa kikao
cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC)
wakipitia agenda mbali mbali zilizotayarisha katika kikao hicho kabla ya
kuanza wakati Mwenyekiti wake akiwa Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,kikao hicho kimefanyika leo katika
Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama
wakati alipowasili katika Viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini
Unguja leo, kushiriki katika kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya
Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC), [Picha na Ikulu.]