Bruce Jenner ‘Caityln’.
New York, MarekaniHABARI ya mjini kwa sasa ni juu ya baba wa kufikia wa mwanamitindo, Kim Kardashian aliyejibadilisha jinsia na kuwa mwanamke, Bruce Jenner ‘Caityln’ kuingizwa kwenye video ya wimbo mpya wa Kanye West.
“Kanye atamuweka kwenye video yake ya wimbo mpya unaoitwa Bound 2 ambapo tayari walishaonana na atafanya hivyo kuonesha upendo wake kama mmoja wa wanafamilia,” kilisema chanzo.