Jun 9, 2015

AJALI YA GARI YATOTEKA STEND YA MABASI BUZURUGA JIJIN MWANZA


 gari ndogo baada ya kugongwa na loli kubwa la kubeba mawe katiaka eneo la nyakato buzuruga
Hii ni baadhi ya Gari iliyosabishw na Ajali ya lori lililokuw limebeb Mawe, iliyotokea mud mfupi eneo la Stand ya Mabasi Buzuruga..ajal hii imesababishw na kufel kw breki ya lori hilo na kupitia/kupalamia Coaster, Tax, Bajaji, Pikipk na waenda kw miguu. Majeruhi wat wamekimbizw hosp. Idadi ya wliokuf hajafamika!!

chanzo: NGOREME SEMOKA Whatssup