Sheikh
wa mkoa wa Dar es salaam, Alhaji Mussa Salum akizungumza katika sala ya
hitima ya marehemu Abdallah Rehani, baba mzazi wa mke wa Waziri Mkuu,
Mama Tunu Pinda iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Tabata jijini Dar es
salaam Mei 17, 2015.Kulia ni Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed
Salim na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa katavi, Dkt. Ibrahim Msengi. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika sala ya hitima ya marehemu
Abdallah Rehani, baba mzazi wa mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda,
iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Tabata jijini Dar es salaam Mei 17,
2015. 
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed
Salim baada ya hitima ya marehemu Abdallah Rehani, baba mzazi wa Mke wa
Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda iliyofanyika nyumbani kwa Marehemu, Tabata
jijini Dar es salam Mei 17, 2015.
Mke
wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal akiagana na Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda baada ya sala ya hitima ya marehemu, Abdallah Rehani, baba mzazi
wa mke wa Waziri Mkuu, mama Tunu Pinda iliyofanyika nyumbani kwa
marehemu, Tabata jijini Dar es salam Mei 17, 2015.
Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akifarijiwa na Mke wa makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar, Mama Asha Seif Iddi katika Sala ya Arobaini ya kifo
cha Baba mzazi wa mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani
iliyofanika nyumbani kwa Marehemu, Tabata jijini Dar es salaam Mei 17,
2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).